WORLD DIABETES DAY/ SIKU YA KISUKARI DUNIANI
WORLD DIABETES DAY/ SIKU YA KISUKARI DUNIANI EPISODE 1
Takwimu zinaonesha asilimia 74 ya vifo vinavyotokea duniani kila mwaka vinasababishwa na magonjwa yasiyo ya kuambukiza ikiwemo Kisukari ugonjwa unaoshika nafasi ya 3 baada ya magonjwa ya moyo na ya mfum,o wa hewa. Leo ni siku ya ugonjwa wa kisukari Duniani nimekuandalia somo la uelewa juu ya ugonjwa wa kisukari ni nini, aina zake, dalili zake, na udhibiti wake. Siku nyingine tutakuwa na somo la mahesabu yanayofanyika katika kupangilia milo ya wagonjwa wakisukari kutokana na dawa wanazotumia na vipimo vingine vya mwili.
Comments
Post a Comment